Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Friday, May 15, 2015

Pacquiao karudi kwao Ufilipino akitokea Marekani


pac8

Bondia Pacquiao amerejia nyumbani Ufilipino baada ya kufanyiwa upasuaji wa bega huko Marekani ambapo pamoja na kushindwa Floyd Mayweather raia wa nchi hiyo walionyesha support kwake baada ya kutua.
pac5

pac10
pac3Pacquiao alionekana muda wote akiwa na furaha licha ya maumivu ya upasuaji wa bega pamoja na kutofanya kile alichokidhamiria katika pambano hilo lililoweka historia duniani lililofanyika May 2, Las Vegas, Marekani
pac2Pacquiao alipigwa kwa pointi na mpinzani wake na mara baada ya pambano kuliibuka lawama kuhusu bondia huyo kucheza huku akiwa mgonjwa
pac4
pac6
pac7
pac8
ndaniUnahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi 

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG