Bustani ya wanyama
Siku hizi bustani ya wanyama zimekuwa pia mahali pa kutunza spishi au aina za wanyama walioko hatarini kutokomea.
Miji mingi mikubwa duniani ina bustani zaa wanyama. Katika baadi ya bustani hizi watu hulipa kiingilio wakitaka kuingia. Lakini hata hivyo bustani hizi hazipokei mapato ya kutosha hivyo hazina budi kupokea pia misaada kutoka serikali.
Umuhimu wa bustani za wanyama ni katika
- kuwapatia watu nafasi ya kuona kwa macho yao wanyama wa nchi zilizo mbali
- kuwaelimisha watu juu ya wanyama wa dunia pia kuhusu mazingira yao
- kuwa kituo cha utafiti wa kisayansi kuhusu wanyama
- kuhifadhi na kufuga aina za wanyama hatarini kutokomea hasa wasio na mazingira asilia tena
No comments:
Post a Comment