- Written by Tupambane Blog
-
Share on facebook Share on gmail Share on twitter
Shirika
linalojibidisha na kutetea na kulinda watu wenye ulemavu wa ngozi nchini
Under the Same Sun, (UTSS) limeteuliwa kushindania Tuzo ya Haki za
Binadamu ijulikanayo kama “Tulip” itolewayo nchini Uholanzi. Iwapo UTSS
watashinda tuzo hiyo, ni dhahiri kwamba kutakuwa na mapinduzi makubwa
katika uboreshaji wa maisha ya watu wenye ulemavu wa ngozi. Shiriki kwa
kupiga kura ili UTSS washinde Tuzo hii na kulinda ndugu zetu wenye
Ulemavu wa Ngozi Tanzania kwa kupiga kura hapa chini na kusambambaza
tarifa hizi kwa taasisi na watu mbalimbali.Kwa kupiga kura hiyo bofya hapa(Thommy kundy)
No comments:
Post a Comment