- Written by Tupambane Blog
- Tuma Maoni
-
Share on facebook Share on gmail Share on twitter
Mahakama
nchini Saudi Arabia imetoa hukumu ya kifungo cha miaka mitano mpaka nane
kwa wanasheria wa tatu nchini humo, kwa kosa la kukosa mfumo wa haki za
nchi katika mtandao wa kijamii blogs na twitter.
Shirika
la habari nchini Saudi Arabia limesema kuwa wanasheria hao wamepatikana
na hatia ya kuwadharau watawala na kudharau mfumo wa mahakama wa nchi
hiyo.
Mahakama imesema wanasheria hao watazuiliwa kufanya mawasiliano na jamii pamoja na chombo chochotete cha habari nchini humo.
Hata hivyo mahakama imeonya watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba watafuatiliwa na kupata adhabu sawa na wanasheria hao.
Nchi ya Saudi Arabia imeonyesha uvumilivu kidogo kwa raia wanaopinga serikali tangu ilipoanza mwaka 2011.BBC
No comments:
Post a Comment