- Written by Tupambane Blog
- Tuma Maoni
-
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akibadilusha mawazo na viongozi wa kampuni ya
Katanja-Neoval Oil baada ya kusikiliza mada yao. Wa pili kulia ni Rais
wa Kampuni hiyo, Bw. KRZYSZTOF SWIACKI. (Picha na Irene Bwire wa OWM).
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akimsikiliza Mkurugenzi wa kampuni ya Katanja-Neoval
Oil, Bw. NICODEMO SWIACKI (kushoto) akiwasilisha mada kuhusu kampuni yao
ambayo inataka kuwekeza Tanzania kwenye kiwanda cha kusafisha dhahabu
na ujenzi wa hoteli ya kimataifa huko Zanzibar. Wa pili kulia ni Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje, Dk. Mahadhi Juma Maalim na Naibu Waziri wa
Fedha, Bw. Mwigulu Nchemba. (Picha na Irene Bwire wa OWM).
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiandika maelezo muhimu wakati akimsikiliza Mkurugenzi wa kampuni ya Katanja-Neoval Oil, Bw. NICODEMO SWIACKI (kushoto) akiwasilisha mada kuhusu kampuni yao ambayo inataka kuwekeza Tanzania kwenye kiwanda cha kusafisha dhahabu (gold refinery) na ujenzi wa hoteli ya kimataifa huko Zanzibar. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Mahadhi Juma Maalim na Naibu Waziri wa Fedha, Bw. Mwigulu Nchemba
No comments:
Post a Comment