Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Monday, November 24, 2014

MDAU SIDDY NA ZIARA YA UTURUKI

ippMdau Sidi Mgumia, mwandishi wa gazeti la The African akiwa katika ziara ya siku chache mjini Istanbul, nchini Turkey. Ziara hiyo ni kwa ajili ya kujifunza utamaduni wa nchi hiyo pia kuona namna walivyopiga hatua hatika maeneo mbalimbali ikiwemo ya kiasia, kitamaduni na pia elimu. Na katika kulifanikisha hilo, yeye pamoja na wenzake kutoka Tanzania pamoja na wenyeji wao walitembelea maeneo mbalimbali yakuvutia na yenye historia kwa Waturuki na hata ulimwengu mzima.
ippAkiwa studio ndani ya Ofisi za S-TV, Instanbul
ippAkiwa Granda Bazaar
ippMdau Sidi Mgumia akiwa na wenzake katika chuo kikuu cha Fatih-Istanbul
ippSidi Mgumia akiwa na wanafuzni wa shule ya Msingi ya Fatih
ippAkifurahia gitaa katika darasa la muziki
unnamed8Mandhari ya mji wa Istanbul
unnamed9Mji wa Istanbul wakati wa usiku

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG