
Waratibu wa mashindano ya riadha ya Uhuru Marathon wazindua mkakati wa kujenga kituo cha michezo kitakachojulikana kama Jakaya kikwete Sportig Academy kitakachokuwa cha kwanza Afrika Mashariki na Kati, Kituo hicho kitajengwa Msolwa mkoani Pwani .Pichani mratibu wa Uhuru Marathon Bwana Inocent Mselwa akizungumza na waandishi wa habari leo katika hoteli ya Keby iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam. Picha na Awadh Ibrahim
No comments:
Post a Comment