Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Tuesday, December 30, 2014

Marekani yatuma meli ya kivita Indonesia

o

Manowari ya Marekani

Wanamaji kutoka Marekani wamesema
kuwa wanapeleka moja ya Manowari
ya kivita kutafuta ndege ya AirAsia
iliyopotea tangu jumapili katika
Bahari za Indonesi.
Manowari hiyo ijulikanayo kwa jina la
USS Sampson inatarajiwa kufika leo
katika eneo la Java Sea today ikiwa ni
siku ya tatu tangua kuanza msako dhidi
ya ndege hiyo. Idadi ya wataalamu wa
kimataifa wanaoitafuta ndege hiyo
imeongezeka ambapo kwa sasa nchi za
Singapore, Malaysia ,Australia,Korea Kusini,Thailand na China wanashiriki
katika kazi hiyo. Mkuu wa Operesheni
ya uokoaji na utafutaji ndege hiyo
Henry Bambang Soelistyo amesema
kwa sasa kuna jumla ya Meli 30,
ndege 15 na Helkopita katika eneo la
tukio. Ndege hiyo ilipotea ilipokuwa
ikisafiri kutoka Surabaya Indonesia
kuelekea Singapore ikiwa na abiria
162.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG