Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Saturday, January 3, 2015

ASMARA ASMARA ASMARA

ASMARA   ASMARA    ASMARA 
BAADHI YA MATANGAZO KATIKA SAALOON HIZI
KALIBUNI SANA ASMARA UJIPATIE HUDUMA MBALIMBALI IKIWEMO YA SALOON YA KIUME NA SALOON  YA KIKE NISALOON ZENYE MWONEKANO WA KIPEKEE AU TWAWEZA SEMA SALOON ZA KIMATAIFA.KWA WALE WALIO MOSHI MAENEO YA PASUA WATAKUWA WANAPAELEWA MAANA SIYO PAHALI PAKUPOTEA PIA NI KALIBU NA SHULE YA MSINGI YA ANNA MKAPA KWA WALE WALIO MBALI AU KWA WALE WAGENI WAWEZA WASILIANA NASI KWA MAWASILIANO HAPA CHINI BAADA YA PICHA. SIYO KWAMBA NI SALOON TU BALI HATA DUKA KUBWA LA DAWA,STATIONARY,DUKA LA KAWAIDA PIA YANTOA HUDUMA NZURI NA ZA KURIDHISHA.KWA WASWAHILI TWASEMA MWANZO MGUMU KWAHIYO USIKATE TAMAA KUPITIA AU KUTEMBELEA BLOGGY AU PAGE HI YA MATANGAZO UJIONEE VITU TOFAUTI TOFAUTI VINAVYO PATIKANA MAENEO HAYA

ZIFUATAZO NI PICHA ZINAZOONYESHA BAADHI YA MAZINGIRA YALIVYO PIA
Huu ni mwonekano wa mbele wab saloon hizi ya kiume na yakike
HI NDIO SALOON YA KIKE

moja ya muhudumu wa saloon ya kike

mwonekano wa saloon ya kike
Moja ya myteja akiwa katika driyer


HII NDIO SALOON YA KIUME



huyu ndiye muhudumu wa saloon ya kiume au twa weza sema ni kinyozi

Kinyozi mwenyewe ambaye ni maarufu sana wa mambo ya saloon
baada ya kunyolewa kwa wale ambao wameshaenda saloo kubwa kubwa vitu kama ivi wavijua


Hili ni tangazo linalohusisha saloon hiz mbili yakiume na ya kike


kama mjuavyo saloon nyingi huwa na tatizo la umeme basi hapa kwetu hatuna tatizo kama hilo hapa masaa 24 umeme upo
Kwa mawasiliano zaidi tembelea www.tupambane.blogspot.com

contact us +255753325588
                                                                             +225782584051
























No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG