LEKIDEA IMEWEKA MIKAKATI
MBALIMBALI KATIKA KUHAKIKISHA KUWA KILIMO CHA NA UZALISHAJI WA WANANCHI
WANAOISHI UKANDA WETU WOTE WA KIRUA-VUNJO MASHARIKI, ILI KUKUZA KILIMO
BORA, CHA UTAALAMU, ILI KUZALISHA BIDHAA BORA, NA ZENYE KUUZIKA, IKIWA
NI PAMOJA NA NDIZI BORA, MATUNDA, KAHAWA, MBOGAMBOGA, MAZIWA; NK.
|
Miche ya Ndizi yafaa kustawishwa vyema ili izae vyema |
|
Ndizi iliyostawishwa vyema huzaa ndizi bora kwa chaluka na biashara |
|
Ustawi unaoonyesha Mafanikio, mikungu miwili au zaidi katika kitalu kimoja |
|
Ndizi kubwa mfano
huu ni kutokana na matunzo mema na hivyo kuzidisha uzalishaji kwa ajili
ya chakula na biashara, na ufanisi kama huu unawezekana kwa Wananachi
wa Ukanda wetu. |
|
Pia Ndizi
ikeshavunwa, ni vyema kuchambuliwa na kuhifadhiwa vyema ndani ya Maji
safi kwa ajili ya kula au kusafirisha kwa biashara. |
|
Ndizi
zikeshazalishwa kwa wingi hufanya Wananchi kuneemeka kwa Biashara na
kusafirishwa ndani na nje ya Ukanda wetu na hasa kama Huduma ya Barabara
ni nzuri na ya kuaminika. Barabara ni muhimu sana kwa wananchi wetu. |
|
Kilimo Bora Cha Mahindi huwezesha Uzalishaji na Mavuno kuwa Bora |
|
Dalili za Mavuno Bora ya Mahindi kwa wananchi wetu hujionyesha mapema |
|
Mahindi yaliyotunzwa kwa Ubora hukomaa vyema na kuwezesha Chakula kiwe cha auhakika. |
|
Mahindi
yaliyolimwa kwa ubora, hukomaa na kukauka vyema, na kuwa tayari
kuhifadhiwa, au ziada kuwasilishwa masokoni kwa ajili ya biashara, na
hii huzidisha kipato cha wananchi na kufuta umaskini. |
|
KAHAWA pia ikitunzwa vyema huzaa vyema kwa Manufaa ya Wananchi wetu. |
|
KAHAWA iliyozaa vyema tayari kwa kuchumwa |
No comments:
Post a Comment