|
Kilimo cha Mbogamboga chaweza kusitawishwa vyema pia katika ukanda wetu wote kwa ajili ya wananchi wetu na hata kwa biashara. |
Mashamba na Bustani Bora za Mboga - Kabeji, kama inavyoonekana juu, itanufaisha wananchi wetu kwa chakula na biashara. |
Bustani za Nyanya zilizostawishwa vyema ni dalili ya mavuno mema. |
Nyaya iliyozaa vyema inakomaa vyema, na hunufaisha Mkulima. |
Nyanya iliyostawi na kukomaa vyema huwa na Mavuno bora ambayo hukuza kipato cha mwananchi/mkulima. |
Uzalishaji mwingi wa Mbogamboga Kwa Biashara huwajengea wananchi wetu uwezo wa kimarika kibiashara katika kujikwamua na kuondokana na Umaskini. |
No comments:
Post a Comment