Wakulima
pamoja na vijana kanda ya kaskazini wakiwa katika majadiliano mara
baada ya kufanya ziara katika kituo cha Radio 5 nakuona namna
inavyoendesha vipindi vyake katika maadhimisho siku ya radio duniani
iliyofanyika 13/2/2015 jijini Arusha
Mkuu wa vipindi vya radio 5 Mathew Philip akiteta jambo na mkulima aliyefika katika maadhimisho hayo
Mtaalamu
wa mnyororo wa dhamani kwenye mauzo ya kilimo kutoka Asasi isiyokuwa ya
kiserikali la Farm Radio Bw.Terevael Aremu akizungumza katika
maadhimisho hayo
kulia ni Mkuu wa vipindi vya radio 5 Mathew Philip na Ashura Mohamed wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa sekondari walioshiriki katika maadhimisho hayo ya Radio duniani
Watangazaji mahiri wa kituo cha radio 5 wakiwa katika pozi Semio Sonyo kushoto,katikati Mwangaza Jumanne na Linus Kilembu
Mkuu wa vipindi vya radio 5 Mathew Philip pamoja na Mtangazaji Linus Kilembu wakiwa katika majadiliano
Kituo cha Radio 5 chenao yake makuu jijini Arusha
imeadhimisha siku ya Radio duniani kwa kuwakutanisha wakulima na vijana
kanda ya kaskazini ikiwa nikuhamasisha vijana kujieleza namna Radio
hiyo imesaidia katika kukuza uchumi,kijamii,kisiasa na kiutamaduniAkizungumza na waandishi wahabari hivi karibuni Mkuu wa vipindi wa Radio 5 Bw.Mathew Philip alisema maadhimisho hayo yalidhaminiwa na kituo hicho pamoja na Farm Radio, ikiwa ni kuhadhimisha siku ya Radio duniani ambapo ilifanyika tarehe 13/2/2015 jijini Arusha
No comments:
Post a Comment