Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akishuka ndege katika uwanja wa
Kimataifa wa Abeid Amani Karume baada ya kumaliza ziara ya Kiserikali
nchi Qatar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akivishwa shada la maua alipowasili
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea nchini
Qatar.
Waziri
wa Biashara, Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui akisalimiana na
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad
alipowasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea
nchini Qatar, wa kwanza (kushoto) Waziri wa Nchi katika Ofisi yake
Fatma Abdulhabib Ferej. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na waandishi wa habari
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar mara baada ya kuwasili
kutoka ziara yake ya Qatar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Mwandishi wa habari wa Radio
Adhana FM Said Mussa Makame akimuuliza swali Makamu wa Kwanza wa Rais
Maalim Seif Sharif Hamad alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari
Katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.
No comments:
Post a Comment