Mkurugenzi
wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex
Msama akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi zake zilizopo
Kinondoni Moroco wakati akielezea maadalizi ya tamasha hilo kwa mwaka
huu, ambapo amesema tamasha hilo mwaka huu pamoja na kuwepo waimbajiwa
muziki wa injili mbalimbali kutoka hapa nchini na nje ya nchi pia
itakuwepo michezo mbalimbali ikiwa pia ni maadhimisho ya miaka 15 toka
kuanzishwa kwa tamasha hilo.
Alex Msama akisisitiza jambo katika mkutano huo.
Alex Msama akiwafafanulia zaidi waandishi wa habari katika mkutano huo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakichukua taarifa ya Bw. Alex Msama.
No comments:
Post a Comment