Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA
Showing posts with label wasanii. Show all posts
Showing posts with label wasanii. Show all posts

Monday, August 24, 2015

WASANII WA MKOA WA KILIMANJARO

KILI VOICE FROM KILIMANJARO

Kili voce ni wasanii wa kilimanjaro walio imba nyimbo iliyojulikana kwa jina la YESU NA WANAE
na sasa wameuna na nyimbo nyingine iitwayo Ukawa waweza isikiliza kwani wameamua kuelimisha jamii yetu kupitia wanasiasa wetu


HI NI MOJA YA LOGO YA WASANII HAWA WA KILIMANJARO










ifuatayo ni picha ya nyimbo waliyoimba ya YESU NA WANAE

  


TEMBELEA BLOGG HI WA NYIMBO NASTORY MBALIMBALI ZA WASANII HAWA WA ILIMANJARO

www.tupambane.blogspot.com

Saturday, February 21, 2015

JACK PATRICK ANENA MAZITO AKIWA JELA MACAU CHINA

Wakati akiendelea kutumikia kifungo akiwa jela huko Macau, Hong Kong nchini China, modo maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff  ‘Jack Patrick’ amenena mazito juu ya Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Juma Khalid ‘Jux’, Vanessa Mdee, Aunt Ezekiel na Moze Iyobo.
Modo maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff  ‘Jack Patrick’.
BARUA KUTOKA CHINA
Jack aliyekamatwa nchini humo kwa msala wa madawa ya kulevya ‘unga’ mwaka 2013 kisha kufungwa miaka sita kwenye Gereza la Macau, hivi karibuni alilitumia gazeti hili barua nzito akionesha kushtushwa na vitu fulani vya mastaa hao.
MIMBA YA AUNT
Moja kati ya mambo yaliyomshtua Jack ni mimba ya mwigizaji Aunt Ezekiel ambaye ni mke wa mtu, Sunday Demonte anayodaiwa kupachikwa na mcheza shoo wa Diamond, Moze Iyobo.
Hata hivyo, katika skendo hiyo, Jack aliwataka watu wamuache Aunt apumzike kwani mapenzi hayachagui hasa kama ana furaha.
Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Wema Sepetu.
“Nimeshtushwa na udaku special Lol! Sasa Aunt ameamua kutulia na Iyobo…acha apumzike mapenzi hayachagui as long as ndiyo furaha yake, that’s okey,” aliandika Jack.
DIAMOND, ZARI
Mbali na mimba hiyo ya Aunt inayoelekea kuzaa matunda muda si mrefu, modo huyo alionesha kushtushwa na penzi la staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na Zari akishangaa ilikuwaje hadi jamaa huyo akaachana na Wema Sepetu kisha kutua kwa mrembo huyo mwenye maskani yake nchini Afrika Kusini na Uganda.
“Heh! Kwani Diamond aliachana na Wema tena?” Alihoji Jack na kuongeza:
“Sasa Zari si anakaa South Africa ‘Sauzi’? Wanaonana vipi na Platnumz? Mh! Wala hawatadumu maana mapenzi ya mbalimbali. Labda kama Nasibu (Diamond Platnumz) atahamia South.
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wakiwa kwenye pozi.
KAJALA Vs WEMA
Pia video queen huyo wa Ngoma za Nataka Kulewa (ya Diamond), She Got A Gwan (ya Marehemu Ngwea) na Kamugisha (ya Linex) aliulizia lile bifu zito la Wema na Kajala Masanja kama lilikwisha kwani mastaa wa Bongo Movies walishazoeleka kugombana na kupatana.
Bifu hilo ni lile la Wema kumtuhumu Kajala kumchukulia bwana’ke (CK) huku akisahahu kwamba alimlipia Sh. Milioni 13 ili asiende jela miaka mitano baada ya kukutwa na hatia ya kuuza nyumba iliyowekwa kizuizini na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa.“Ya Kay (Kajala) na Wema naona mwishowe watarudisha urafiki tu. Ya Bongo Movies nimeshayazoea huwa wako hivyo kila muda, kawaida yao.”
JUX, VANESSA
Jack alipofika kwenye ishu ya kusalitiwa na staa wa Bongo Fleva, Jux akidaiwa kuwa kwenye malovee na sexy lady wa muziki wa Kizazi Kipya, Vanessa ‘Vee Money’, aliandika ishu hiyo kwa hisia zaidi huku akijilaumu mwenyewe kwa kosa alilofanya.
Juma Khalid ‘Jux’, akiwa na mpenzi wake Vanessa Mdee.
“Ya Jux na Vanessa nimeamua tu kuyaacha coz nipo jela siwezi kumzuia kufanya lolote then ni makosa yangu yaliyofanya hayo yote kutokea.“Sijui hata kama itakuja kutokea tena kuwa wote tena mimi na yeye, that chapter closed already, nahesabia muda mfupi tu now nitatoka lakini sina chochote cha kufanya nionane naye,” alimalizia kuandika Jack.
Jack Patrick alihukumiwa kifungo hicho mwaka jana lakini taarifa zilieleza kuwa endapo ataonesha nidhamu gerezani ataachiwa mapenzi hivyo hatakaa jela miaka yote sita.

WAIGIZAJI 10 WA KIKE WENYE MVUTO AFRIKA!


Tasnia ya filamu Afrika inakuwa kila siku kiasi kwamba zile ndoto za kufanya kama wenzetu wa Hollywood (Marekani) na Bollywood (India) huenda siku moja zikatimia.Kama ilivyo Hollywood na kwingine kwenye waigizaji wa kike wenye mvuto, wapo pia waigizaji wa kike Afrika ambao ni ‘visu’.Leo hii ikihitajika Top 10, kila mmoja atakuwa na yake lakini mtandao wa  umefanya kazi ya kuorodhesha waigizaji 10 wa kike wenye mvuto kama ifuatavyo;
10. Elizabeth Michael ‘Lulu’
Binti huyu ana umri wa miaka 21 lakini ni mrembo na anayejiamini. Ni binti kutoka Tanzania mwenye kipaji cha kuigiza kiasi cha kuwa tishio kwa wakongwe. Ni kweli huwa anatumia ‘make up’ lakini hata akiwa hajatumia wala kuvaa ‘mawig’, bado anaonekana ni mwenye kuvutia.
9. Omotola Jalade Ekeinde
Ni mmoja wa mastaa wa kike nchini Nigeria mwenye mvuto wa aina yake. Kwa sasa ana umri wa miaka 37 na watoto wanne lakini bado anaonekana mrembo kiasi cha baadhi ya mashabiki wake kumuita Omosexy.Kutokana na kipaji alicho nacho, amejikuta akiwa na mashabiki wengi katika Bara la Africa na kwingineko duniani. Mbali na uigizaji pia ni mwanamitindo na mwananamuziki.
8. Chinyere Yvone Okoro
Huyu ni muigizaji anayetokea nchini Ghana. Katika orodha ya waigizaji wa kike waliomo nchini humo, mrembo huyu amebaki kuwa tishio na imemfanya kuingia katika orodha hii ya wasanii wa kike wakali Afrika.
7. Jackline Wolper
Huyu ni muigizaji kutoka Tanzania mwenye mvuto wa aina yake. Kwa mujibu wa maelezo yake, uzuri alionao unatokana na mfumo mzuri wa kula aliojiwekea. Anakula sana mbogamboga, matunda na maji mengi, hali inayomfanya autunze urembo alionao.
6. Genevieve Nnaji
Ana umri wa miaka 36, anatokea Nigeria. Mwanadada huyu anatajwa kuwa na mvuto wa aina yake kiasi cha kupata usumbufu kutoka kwa wanaume kibao.Ameigiza filamu nyingi na zote amezitendea haki kutokana na namna anavyouvaa uhusika.
5. Jackie Appiah Agyemang
Amezaliwa miaka 32 nchini Canada lakini amekulia nchini Ghana. Ni binti mrembo na mwenye kipaji ambaye aonekanapo kwenye televisheni, huthibitisha kwamba kuna kitu cha ziada alichojaaliwa na Mungu.
4. Nadia Buari
 Huyu ni msanii kutoka Ghana aliyezaliwa miaka 30 iliyopita. Licha ya umri kusogea, hachuji kwa uzuri. Amecheza filamu nyingi na kadiri siku zinavyokwenda ndivyo anavyozidi kuwa tishio kwenye tasnia ya uigizaji.
3. Ini Edo
Hivi unaanzaanzaje kumuacha mrembo huyu pale unapotaja medemu wakali kwenye tasnia ya filamu Afrika? Naamini huwezi, labda uwe na chuki zako binafsi.Ana umri wa miaka 31 na ana uzuri wa asili unaomfanya atumike kwenye filamu nyingi za Nigeria.
2. Stephanie Okereke Linus
Huyu ni binti kutoka Nigeria ambaye wengi wanamtaja kuwa muigizaji mwenye mvuto kuliko wote Afrika. Ana miaka 33, aliwahi kushiriki mashindano ya urembo nchini Nigeria na kuibuka mshindi. Kuanzia hapo amekuwa gumzo kwa uzuri wake na amekuwa akitumika sana kwenye filamu nyingi.
1.Rita Dominic
Wafuatiliaji wa filamu za Nigeria watakuwa wanamjua vizuri binti huyu. Ana miaka 40 lakini bado anadai. Kila sehemu ya mwili wake ina muonekana wa kiurembo.
Angalia midomo yake, angalia macho na ngozi yake. Hakika ni kati ya waigizaji wa kike Afrika wenye mvuto wa aina yake.

Friday, February 20, 2015

OMMU DIMPOZ KWA MARA YA KWANZA ATOA NENO JUU YA KUTOKA KIMAPENZI NA WEMA SEPETU


Ommy Dimpoz: Wema siyo mpenzi wangu
Msanii wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema anashangazwa na uvumi unaoendelea kuwa yupo katika uhusiano na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu.
Akielezea kuhusu picha zilizosambaa kwenye mitandano ya kijamii, Ommy Dimpoz, alisema walikuwa Afrika Kusini kwa mapumziko ndipo picha hizo zilipopigwa.
“Tunapiga picha nyingi sana na Wema hata uki-google utaziona, hii siyo mara ya kwanza, lakini sijui kwanini hizi zimetengeneza taswira nyingine kwa mashabiki,” alisema.
Ommy alisisitiza kuwa yeye hajawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ex wa rafiki yake, na kuwa yeye na Wema walikuwa wakifahamiana hata kabla ya Wema kuanza mahusia ya kimapenzi na Diamond. Hivyo kuacha kwao haiwezi kumpelekea yeye awe mbali nao kwani hayo ni mambo yao binafsi.
Japokuwa Ommy anaamni kuwa kwenye pitapita za kimaisha inawezekana mtu akawa na mahusiano ya kimapenzui na Ex wa rafiki yake, kwani hicho kitu kinawezekana.
“Ku-date na Ex wa rafiki yangu, kwa mimi hapana lakini kuhusu maswala ya mapenzi lolote linaweza kutokea kwasababu umesha sema Ex kwahiyo it means hawapo kwenye mahusiono tena kwahiyo inaweza ikatokea huko mbele mbele maisha yameendelea  watu wakaja kukutana , kwa huyo vitu hivyo vinawezekana”  Dimpoz alieleza.
Picha za wawili hao wakiwa katika pozi tofauti zimeendelea kuwa gumzo na kuzua maswali mengi kwa mashabiki, kutokana na ukaribu aliyonao Ommy Dimpoz na aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Wema, Nasib abdul ‘Diamond’.

AUNT EZEKIEL APOROMOSHA MANENO MACHAFU, KISA PICHA AKIWA KIWANJA ANAKULA BATA!!


Aunt Ezekiel Aporomosha Maneno Machafu, Kisa Picha Akiwa Kiwanja Anakula Bata!!
Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Aunt ezekiel amejikuta akitoa maneno makali baada ya mashabiki wake kumshabulia kwa maneno baada ya kuweka mtandaoni picha ikimuonyesha amevalia kinguo ambacho kwa maoni ya mashabiki hao hakistahili kuvaliwa na mwanamke mjamzito na kibaya zaidi alionekana mkononi ameshika shupa ambao wengi waliiona kama niyakilevi.
Aunty Ezekiel alibandika picha hiyo hapo juu hivi juzi kati akiwa na jamaa kwenye ukurasa wake mtandaoni na kuandika maneno “My best friend,my love,my kimoko I love him so much”
Baada ya kubandika ujumbe huo baadhi ya mashabiki wake walionyeshwa kukera na mavazi na sehemu alikokuwepo nalumtaka atulie nyumbani alee mimba yake kwani kwasasa inaonekana kuwa na ya zaidi ya miezi nane na wiki kadhaa.
“Ungetulia  tu nyumbani ukasubirikujifungua salamamjamzito kuzurura namna hiyo na mijanaume sio poakabisa tena na kilaji mkononi harafu pia hata hayo mavazi mmmh!!” alisema mmoja wa shabiki na kuungwa mkono na wengine wengi.
Baada ya muda kidogo aunty ezekel akaibuka na  kuandika ; “Plz msiwe bac mnaongea kitu kabla ujajua undani wake, ni vizuri kuuliza kuliko kuandika tu ilimradi na wewe uonekane umeongea hiyo nguo ni special kwa mama mjamzito na hapo juu inampira wakutosha tu na mapajani ndio inabana sasa”
Lakini majibu hayo yalionekana kuamsha maneno zaidi ya kumponda Aunty ambae nae mwishoni  alionekana kushindwa kuvumilia na kutoa maneno machafu ambayo sio busara kuyabandika hapa.
Wewe je umeionaje picha hiyo ya Aunty?

Wednesday, February 18, 2015

MWIGIZAJI VICENT KIGOSI ‘RAY’ AMTAPELI UPYA JOHARI

Gazeti la udaku la KIU, limeripoti kuwa hali ndani ya kampuni ya RJ inaendelea kutokuwa shwari kwa kile kinachodaiwa kuwa kuwa wakurugenzi waanzilishi wa kampuni hiyo Vicent Kigosi ‘Ray’ na Blandina Chagula ‘Johari’ kutokuwa na maelewano mazuri na sasa ikidawa kuwa chanzo ni pesa kutoka kwa wadhamni waliokuwa  wakihitaji  kudhamini filamu inayotengenezwa na makampuni hayo.

Chazo hicho ambacho kipo ndani ya kampuni hiyo kilisema kuwa pesa hizo zilitolewa na mfanyabiashara maarufu ambaye aliombwa kutoa msaada  katika kufanikisha filamu hiyo ambayo ilikuwa iwashirikishe wasanii kutoka Nigeria lakini imeshindikana kutokana na mgogoro wa kiuongozi uliopo kati ya wakurugenzi hao wawili.

Chanzo hicho kiliendelea kusema kuwa mtu wa kwanza amabaye anaonekana  sio muaminifu katika pesa hizo ni Ray kwani mara baada ya  mfanyabiashara huyo kukubalia pesa hizo alikuwa akienda kufuatilia msaada kinyemela akiwa na Chuchu huku Johari akibaki ofisini.

Aliendelea kusema kuwa Ray alikuwa akitumia mwanya wa kuwa na mahusiano na Chuchu kwa hiyo hata walipokuwa wakitoka ofisini Johari alikuwa akijua kuwa ni mtoko wa kimapenzi ya kawaida lakini  kumbe wao walikuwa wanakwenda kwa mdhamini kuchota pesa za filamu hiyo.

“Baada ya Johari kugundua kuwa kuna mchezo unaochezeka nyuma ya pazia ndipoalipoamua kwenda moja kwa moja  kwa mfanya biashara huyo kwasababu yeye ndiye aliekuwa connection ya  mchongo huo”.

Gazeti la hilo liliwasiliana na Johari kwa njia ya simu kuhusiana na jambo hilo lakina mara baada ya kupokea simu  alisema kuwa yupo kikaoni atafutwe badae.

Kwasasa nipo kwenye kikao siwezi kuzungumzia swa hilo nitafute badae” alisema Johari na kukata simu.Licha ya kutafutwa badae simu yake haikuwa hewani mpaka gazeti hilo linakwenda mitamboni. Ray hakupatikana kabisa kwenye simu.

Friday, February 6, 2015

MASTAA WENYE SKENDO ‘LIVE’

Na Mwandishi Wetu
Zimebaki siku saba kumalizika kwa mwaka 2010, tukielekea kufunga wiki ya 51, orodha ya mastaa wa Bongo waliotia fora kwa skendo wanaanikwa.
The Udaku Master, Ijumaa linaanika staa mmoja baada ya mwingine na jinsi walivyovuma na skandali zao;

ELIZABETH MICHAEL ‘Lulu’
Ni staa mwenye umri mdogo ambaye alitikisa zaidi mwaka 2010. Aliandikwa kwa matukio yake ya kulewa kupita kiasi kwenye kumbi za starehe na kuvaa nusu uchi.

Lulu ambaye umri wake una utata, ikidaiwa yupo chini ya miaka 18, pia alihusishwa na matukio ya kimapenzi, kubwa zaidi likiwa lile la kutoka kimapenzi na mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba.

Kama hiyo haitoshi, aliripotiwa mwaka huu kugombana na ‘sidanganyiki’ mwenzake, wakidaiwa kurushiana makonde kisa kikiwa ni penzi la ‘janki flani’ hivi.

Thursday, February 5, 2015

YAMOTO BAND KUFANYA LIVE SHOW KWA MARA YA KWANZA KWENYE JIJI LA LONDON

 YAMOTO BAND  COMFIRMED will performing all their major hits including NITAJUTA, NISEME, WAMBEA, NITAKUPWELEPWETA and many more @ The Royal Regency Banquet Hall, Sat 21 Feb 2015 From 8pm to 3:30am, there are limited VIP Tables available book yours now for ultimate VIP treatment or individual place your booking early to avoid disappointment. Table bookings please call 07405824696/ WhatsApp +447557304940
info@bongodeejays.com or jestinageorge@gmail.com

Ukumbi wa Royal Regency ndio sehemu pekee ambayo utawaona YAMOTO BAND kwenye jiji la LONDON usiku wa 21. Feb 2015

Usiku wa tarehe 21 February 2015 The Royal Regency patakuwa hapatoshi. Kwa kuondosha usumbufu wahi ticket yako mapema
 Kiingilio ni:
£25 kwa Ticket ya kawaida
£35 kwa VIP ticket
Kama Unahitaji VIP table for 10 people piga simu 07405824696 kwa maelezo zaidi au tuma email kwenda: info@bongodeejays.com or jestinageorge@gmail.com
YAMOTO BAND will be alongside supported artist such as Sultan King, OJ, Hyper hype And many more,why wait grab your ticket Now!!!! 
HOT LINE FOR TICKET 07853482158/07557304940

Saturday, January 24, 2015

KIZAZA CHA MASTAA WA BONGO :TAZAMA PICHA 30 HAPA ZA ...............KWENYE 6*6 :( ONYO 81+)


















































Na mwandishi wa Xdeejayz Afrika Kusini
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua mtandao huu umenasa taarifa za kushtua juu ya mastaa mbalimbali kuwa mbioni kutengeneza picha ya X "Ngono" huku wazungu toka nchini Afrika Kunisini wakitarajia kufanya kazi hiyo.

Habari za uhakika ambazo hazina hata chembe ya uongo toka kwa chanzo chetu cha habari toka kampuni moja ya mtanzania anaeishi nchini Afrika Kunini aliyefahamika kwa jina la Fortunatus Kasomfi ambae nae ni msanii wa bongo muvi na ndiye staa wa filamu ya Our Teacher zilisema wazungu wamefurahishwa sana na tabia ya mastaa wa bongo kupenda kupiga picha za utupu hivyo wametenga mamilioni ya shilingi kuja kuwashawishi ili wacheze mikanda hiyo ya ngono.
Chanzo hicho kiliendelea kuileza Xdeejayz kuwa tayari makaburu hao wameanza kuingia kimya kimya" Unajua ukanda huu wa afrika mashariki na kati Tanzania inaongoza kwa mastaa wake kupenda kujipiga picha uchi hivyo wanaonekana wanapenda sana na wanavipaji hivyo wazungu wameona ni bora waje kufanya nao mazungumzo ili walipwe pesa nyingi harafu warekodi cd za ngono kabisa kuliko hizo picha wanazopiga zinakuwa hazina faidi yoyote kwao kwani watakaporekodi cd hizo watapata mamilioni ya shilingi" Alisema dada huyo ambae ni aliwahi kuwa Producer kwenye redio moja maarufu nchini kabla ya kutimkia huko

Msichana huyo aliongeza kusema kitu kikubwa pia kilichowavutia na kuamini kuwa wasichana wa Tanzania wanaweza ni tukio la msanii anaetamba na filamu yake ya utupu ya NGEMA Manaiki Sanga "the done jinsi alivyopiga picha na wanawake zaidi ya mia nne hivyo inaonekana wadada hawa wa kibongo wakiwezeshwa wanaweza.

Chanzo hicho ambacho kiligoma kutaja jina lake kilisema wazungu hao watakapoanza kufanya hiyo kazi watafanya usaili kwa kuwafanyia Interview wahusika huku washiriki hao wakiwa wameshakubaliana malipo ambapo kima cha chini kitaweza kuwa kati ya dola mia 700 kwa tendo moja ambalo huchukua kati ya dakika 45 hadi saa zima.

Aidha baada ya taarifa hizo Xdeejayz ilizungumzo na wadau mbalimbali Jijini na ambapo walionesha wasi wasi wao kuwa huenda wazungu hao wakawakama wasanii wengi sana kwenye mchakato huo kutokana na wasanii wengi kuwa na njaa kali ndio maana wamekuwa wakipiga picha zisizofuata maadili na kuzipachika kwenye mitandao ili kutafuta ridhiki kwa mapedeshee.
TUPAMBANE BLOG