Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Thursday, July 31, 2014

NI KATIKA SIKUKUU YA IDD NDANI YA JIJI LA DARESALAM

Mzee Yusuf na vijana wake wakifanya yao stejini katika sikukuu ya Idd ndani ya ukumbi wa Dar Live.
Mashabiki waliofurika Dar Live kusherehekea sikukuu ya Idd wakijirusha kijanja na mirindimo ya pwani.
Mwimbaji Leila Yusuf akizikonga nyoyo za mashabiki waliofurika Dar Live kusherehekea sikukuu ya Idd.
Khadija Yusuf akipagawisha mashabiki.
Mashabiki kibao wakiwa wamejazana mbele ya steji wakicheza taarab sambamba na waimbaji wa kundi la jahazi (hawapo pichani).
Mlinda mlango wa zamani wa Yanga, Juma Pondamali (kushoto) akilshambulia jukwaa la Dar Live pamoja na wacheza shoo wake.
Shabiki akijiachia kwa raha zake baada ya mzuka kumpanda.
Waimbaji wa Jahazi Modern Taarab Rahma Machupa, Mishi na Fatma Kassim wakiserebuka jukwaani.
Mpenzi huyu wa taarab uvumilivu ulimshinda na kuamua kupanda stejini.
Mama Amigo (kushoto) akimnong'oneza jambo MC wa Jahazi Modern Taarab, MwasitI Robert.
Waimbaji wa kundi la Jahazi Morden Taarab wakiwa jukwaani wakati wakifanya yao katika sikukuu ya Idd, Dar Live.
Nyomi ya watu wakifuatilia shoo ya Jahazi ndani ya Dar Live.
Mzee Yusuf akiwadatisha mashabiki (hawapo pichani).
Leila Yusuf akijiachia stejini.
Mwimbaji wa Jahazi, Abubakar Soud 'Amigo' akipozi na mama yake mzazi,

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG