Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Thursday, September 11, 2014

Ezekiel Wenje yuko tayari kugharimia kikao cha UKAWA


Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Ezekiel Wenje amesema yuko tayari kugharimia kikao Maalumu cha UKAWA,
"Nitagharimia kwa pesa zangu kikao cha viongozi wanaounda Umoja wa Katiba UKAWA nje ya nchi nakufikia msimamo wa kusimamisha mgombea moja."
Alikuwa akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika viwanja vya Furahisha Mwanza mbele ya makamo wa Rais wa Zanzibar Maalim Self Sharrif Hamad.
Alisema kutokana na umuhimu huo yuko tayari kugharimia kikao cha wiki moja nje ya nchi kwa viongozi wa UKAWA kujifungia na kuwa na jina moja la mgombea wa Urais katika uchaguzi wa 2015.
Haiwezekani watanzani kuendelea kuwa masikini wakati kuna watalaamu kama Prof Ibrahim Lipumba hawapewi nafasi ya kujenga uchumi na wkt wenzetu wa mataifa mengine wanawatumia

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG