Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Tuesday, September 2, 2014

kumbukumbu ya Daud Mwangosi

  • Written by  Tupambane Blog
  • Email
  • Tuma Maoni
  • Share on facebook Share on google_plusone_share Share on twitter 





NaThommy kundy Moshi
Leo ni kumbukumbu ya kifo cha Mwangosi na wanahabari Iringa tunaadhimisha siku hii kwa kutambua Kazi ya vyombo vya habari mkoani Iringa kwa kutumia siku hii kucheza mchezo wa kirafiki ktk uwanja wa mtwivila wa Idydc.
Majira ya saa 12 Jioni, hivyo wanahabari wote tutakutana ktk uwanja huo na kabla ya mechi mchezo utatanguliwa na Sala fupi ya kumkumbuka yeye na wanahabari wote waliotangulia mbele ya haki

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG