Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Monday, September 22, 2014

MASHINDANO YA NGUMI YA KUMI BORA YAENDELEA KUSHIKA KASI



Bondia Saleh Said wa Magereza 'kulia' akioneshana umwamba na Sudi Mohamed wa Mavituzi wakati wa mpambano wa kumi bora yanayoendelea kila jumamosi katika ukumbi wa Manyara Park Manzese Dar es salaam Said alishinda mpambano huo Picha na Tupambane Blog

Bondia Iddi Juma wa Midizini akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Jumanne Mashombo wa Ndame wakati wa mpambano wa kumi bora uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Manyara Park Mahombo alishinda kwa point

Bondia Julius Kisalawe kushoto akimwelekeza jinsi ya kupiga ngumi wakati wa mapumziko bondia Jumanne Mashombo wa ndame.(P.T)

Bondia Iddi Juma wa Midizini akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Jumanne Mashombo wa Ndame wakati wa mpambano wa kumi bora uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Manyara Park Mahombo alishinda kwa point 
Tupambane Blog

Bondia Muhsin Hashim kustoto kutoka ndame akipambana na James Edmond wakati wa mashindano ya kumi bora yaliyofanyika katika ukumbi wa manyara park Edmondi alishinda mpambano huo

Bondia Justin Alyce kushoto akipambana na Stevin Anastazia

Mkuu wa majaji Remy Ngabo akiakikisha matokeo

Bondia Ibrahimu Bakari wa Urafiki akipambana na Maulid Athumani wa JKT wakati wa mashindani ya kumi bora kwa kila uzito katika mkowa wa dar es salaam picha na Tupambane Blog

Bondia Shabani Mohamed kushoto akipambana na Undele Langson wakati wa mashindano ya kumi bora katika kila uzito yanayo endeshwa kila wiki na chama cha ngumi za ridhaa mkoa wa Dar es Salaam DABA .Langson alishinda kwa point picha na  Tupambane Blog

Bondia Saleh Said wa Magereza 'kulia' akioneshana umwamba na Sudi Mohamed wa Mavituzi wakati wa mpambano wa kumi bora yanayoendelea kila jumamosi katika ukumbi wa Manyara Park Manzese Dar es salaam Said alishinda mpambano huo Picha naTupambane Blog

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG