Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Thursday, September 4, 2014

SHULE YA JABALHIRA YA MWANZA YAONGOZA MTIHANI WA DINI YA KIISLAM

  • Written by Tupambane  Blog
  • Email
  • Tuma Maoni
  • Share on facebook Share on google_plusone_share Share on twitter 

Afisa Mwandamizi Suleiman akisoma majina ya shule kumi bora.
Majina ya shule zilizoshika nafasi ya  kumi bora kitaifa pamoja na majina ya wanafunzi waliofanya vizuri.

Wanahabari wakisilikiza orodha ya majina ya washindi.
Na Thommy kundy
ISLAMIC Education Panel imetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya dini ya Kiislam uliofanyika Agosti 13, 2014 , ambako jumla ya shule 2,559 katika mikoa 26 na wilaya 115 za Tanzania Bara na Visiwani zilishiriki.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG