Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Friday, September 26, 2014

TBL YATOA MSAADA WA VISIMA VYA MAJI ZANZIBAR NA MBAGALA




Mwakilishi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Zanzibar Samir Manji ( wa tatu kushoto), 
akikabidhi 
mfano
 wa hundi yenye thamani ya sh. mil 51 wananchi wa majimbo ya Chumbuni na Mpendae 
ikiwa ni msaada 
wa kampuni hiyo kwa ajili ya mradi wa uchimbaji wa visima vya maji safi na salama 
katika majimbo hayo 
juzi. Wa pili kushoto ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu 

Mwakilishi wa Mauzo ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda ya Temeke, Bw. Alen 
Mwebuga 
(kushoto), akimkabidhi Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya cha Mbagala Round Table 
Maternity 
Home, Dkt. Baturi Luhanda, mfano wa Hundi ya sh. Milioni 20, kwa ajili ya kusaidia 
kuchimba kisima 
cha maji. Wengine katika picha ni Afisa Uhusiano wa TBL, Bi. Doris Malulu 
(wa pili kulia), Mhandisi
 wa mradi huo, Bw. Onesmo Zakaria na Rais wa Rotary Klab Agnes Batenga. 
(Na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG