Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Wednesday, September 3, 2014

THEA: NDOA SIYO PETE

  • Written by  Tupambane Blog
  • Email
  • Tuma Maoni
  • Share on facebook Share on google_plusone_share Share on twitter 

Stori: Imelda Mtema
Msanii wa muda mrefu katika filamu Bongo, Salome Urassa maarufu kama Thea,  amejinasibu kuwa kutovaa kwake pete ya ndoa haimaanishi chochote kwa vile kitu hicho siyo muhimu.

Msanii wa muda mrefu katika filamu Bongo, Salome Urassa maarufu kama Thea wakati wa kufunga ndoa.
Akizungumza na paparazi wetu juzikati, Thea alisema awali alikuwa akivaa pete, lakini bahati mbaya ilipotea na kupotea huko hakumaanishi kwamba ndoa yake imepotea.
“Sitaki kuamini kabisa kama ndoa ni pete, ninachojua ni kwamba siku zote ipo moyoni, unaweza kuvaa hata pete kumi kidoleni, lakini kama haina amani ni kazi bure tu, mimi sina lakini kama nina furaha kwenye ndoa yangu hakuna neno

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG