Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Monday, November 17, 2014

AZAM FC MBIONI KUMNASA MOHAMED TRAORE WA MALI.


Azam FC wapo kwenye mazungumzo ya mwisho ya kumnasa straika Mmali wa El Merreikh, Mohamed Traore ambaye anatarajiwa kutua nchini mwishoni mwa mwezi huu kwa mazungumzo ya mwisho.
Traore atawasili nchini baada ya kumaliza mechi yake ya Jumatano ijayo ambayo atakuwa akiichezea timu yake ya Taifa ya Mali itakayocheza na Algeria kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika na atakuwa mchezaji wa pili kutoka El Merreikh baada ya Muivory Coast Pascal Wawa aliyepewa mkataba wa miaka miwili.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG