Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Monday, November 17, 2014

UKIWA BABA WA NYUMBANI KAZI NI KEMKEM..!


Ndugu zangu,
Kuna kupepeta na kuchagua mchele pia, vinginevyo watoto wataula wa chuya...!
Kwangu nikitoka kibaruani nipitie sokoni na kisha kuwahi nyumbani kuandaa mlo wa jioni. Na siye wazazi wa kiume tujue, kuwa watoto wetu wa kiume wanajifunza kufanya kazi za nyumbani wakimwona baba naye anazifanya...

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG