Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Monday, November 17, 2014

QS MHONDA J ENTERTAINMENT YAMPELEKA MSANII CHIPUKIZI KUFANYA VIDEO AFRIKA KUSINI


  • Share on facebook
    Share on google_plusone_shareShare on twitterShare on linkedin
Mwanamuziki Amour Genius.
QS Mhonda J Entertainment imempeleka msanii wake chipukizi aitwaye AMOUR GENIUS nchini Afrika Kusini kufanya video ya wimbo wake mpya uitwao WANIMALIZA ambao amemshirikisha ‘hit maker’ wa wimbo wa MAUMIVU – KADJA NITO.
Meneja wa kampuni hiyo, Fredy Felix, amethibitisha hayo ambapo alisema mashabiki wakae mkao wa kupokea video nzuri kutoka kwa AMOUR.
Pia Fredy aliongeza kuwa yote hayo ni matayarisho ya QS INTERNATIONAL MUSIC BAND ambayo inaundwa na Q-CHILLAH, MB DOG, KADJA NITO, SHALVINY na AMOUR.
Bendi hiyo inatarajiwa kuzinduliwa mapema mwakani ambapo kwa sasa wasanii wake wapo wanajinoa ili kutoa vibao vikali ambavyo vitakonga nyoyo za mashabik

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG