Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Sunday, November 16, 2014

Taarifa mpya kwa watumiaji wa WhatsApp…

\Taarifa

Nakumbuka moja ya taarifa kubwa zilizowahi kuchukua headlines mwezi Februari 2014 ilikuwa ni stori ya kuuzwa kwa mtandao wa Whatsapp kwa mmiliki wa Facebook, leo kuna taarifa nyingine mpya kuhusiana na watumiaji wa mtandao wa Watsapp.
Haya ni mambo manne mapya ambayo huenda hujayasikia kuhusu WhatsApp;-
1. Huduma hiyo inapatikana kupitia Whatsapp katika simu zote za mkononi zenye uwezo wa kuitumia

2. Tick ya kijivu ina maana kuwa ujumbe umetumwa, tick mbili za kijivu zina maana ujumbe umemfikia mlengwa, na tick mbili za blue zina maana kuwa mlengwa ameusoma ujumbe uliotumwa

3. Ukibonyeza na kushikilia ujumbe uliotuma inatokea Pressing and holding an individual message shows the Message Info option

4. Ukibonyeza ujumbe uliotuma utaona muda kamili ambao ujumbe huo ulisomwa
Kuanzia jana huduma hiyo itakuwa ikionyesha tick mbili za rangi ya blue upande wa chini kulia katika kila ujumbe unaotuma kubainisha kuwa umesomwa.

Ukibonyeza ujumbe wenyewe itakuonyesha muda ambao uliyemtumia ujumbe huo kausoma.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG