za asbh wana jf mmeamkaje najua si woe awapendi kwenda kkanisan wengine wanafanya kazi na wengine wamejawa na mawazo bila kujua leo ni siku ya jumapili kumwabudu Bwana Mungu si mbayaa kukumbusha hapo ulipofika sio kwamba umetenda sana mema kwa MUNGU ndio maana uko unahema la hasha ni neema ya MUNGU imekufikisha hapo ulipo sio mbaya kuchukua nafasi hii kumshukuru MUNGU kwa nini wewe uko nyumbani wengine wako ICU wengine wamechukuliwa na misukule wanalima huko huku tukijua tumezika watu ..
Chukua siku ya leo kumshsukuru Mungu wako na kumwomba akusaidiie wiki inayofwata jiulize kazini kwako ile ridandas ulimhonga nini MUNGU wewe ukabaki mpaka leo na mengine mengi ya kujiuliza