Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Sunday, December 7, 2014

DIAMOND ATUA MARYLAND KUPIGA SHOO YA SHEREHE ZA UHURU TANZANIA


 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nassib Abdul, 'Diamond' akiwasili kwenye uwanja wa kimataifa wa Dulles tayari kwa makamuzi ya sharehe ya Uhuru itayofanyika muda si mrefu Sheraton, ya Downtown Silver Spring, Maryland.
 Diamond akipunga mkono kusalimiana na mwenyeji wake hayupo pichani mara tu baada ya kuwasili Dulles.
 Kutoka (kushoto) ni Dj Romy Jones, Diamond na mmoja wa waratibu wa sherehe ya Uhuru Bwn. Phanuel Ligate

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG