Dirisha la usajili linatazamiwa kufungwa leo saa sita usiku,huku vilabu mbali mbali vikipigana kumbo kuwania saini za wachezaji mahiri.Manchester United tayari wamethibitisha kumsajili mshambuliaji wa Monaco Ramadel Falcao kwa mkopo wa mwaka mmoja.Manchester United wameanza kwa kusuasua kwenye ligi kuu ya Uingereza,ambapo mpaka sasa wameishacheza michezo mitatu na wameambulia pointi mbili tu.Kocha wa timu hiyo Louis Van Gaal ana kuna kichwa ni jinsi gani atakirudishia makali kikosi hicho.Mashabiki wa timu hiyo wanasubiri kwa hamu kuona ni mchezaji gani mwingine atajiunga nao kabla dirisha halijafungwa rasimi leo saa sita usiku.
Monday, September 1, 2014
DIRISHA LA USAJILI KUFUNGWA LEO SAA SITA USIKU
Dirisha la usajili linatazamiwa kufungwa leo saa sita usiku,huku vilabu mbali mbali vikipigana kumbo kuwania saini za wachezaji mahiri.Manchester United tayari wamethibitisha kumsajili mshambuliaji wa Monaco Ramadel Falcao kwa mkopo wa mwaka mmoja.Manchester United wameanza kwa kusuasua kwenye ligi kuu ya Uingereza,ambapo mpaka sasa wameishacheza michezo mitatu na wameambulia pointi mbili tu.Kocha wa timu hiyo Louis Van Gaal ana kuna kichwa ni jinsi gani atakirudishia makali kikosi hicho.Mashabiki wa timu hiyo wanasubiri kwa hamu kuona ni mchezaji gani mwingine atajiunga nao kabla dirisha halijafungwa rasimi leo saa sita usiku.
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment