- Written byTupambane Blog
- Tuma Maoni
-
Share on facebook Share on google_plusone_share Share on twitter
Na Mathias Canal
Mtanzania
anauwezo mkubwa sana wa kusoma majarida, vitabu, magazeti, na hata
matangazo lakini jambo gumu kwake ni uelewa wake wa yale aliyoyasoma.(FS)
Kina dada
hawa nimewakuta katikati ya manispaa ya Iringa katika eneo la hospitali
ya Rufaa-Iringa, wakiwa katika pozi wakati pembeni yao kuna tangazo
ambalo linakataza kukaa katika eneo hilo.
Si kweli
kwamba hawajui kusoma Laaaa hasha!.... naamini kwamba wanajua kusoma
lakini ajabu ni pale inapokuja kazi ngumu ya kuelewa.
Uelewa wa mambo ni taharuki ambayo ipo mioyoni mwetu ukilinganisha na tafakuri ya hali halisi ya elimu ya kitanzania.
Ni rahisi
sana kuwekwa hatiyani kama tutashindwa kujali,na kuziheshimu sheria
mama na hata sheria ndogondogo ambazo zimewekwa tena kwa manufaa ya nchi
na watanzania wake.
No comments:
Post a Comment