- Written by Tupambane Blog
- Tuma Maoni
-
Share on facebook Share on google_plusone_share Share on twitter
Robert Menendez
Mkuu wa
baraza la kamati ya mahusiano ya Marekani ameiomba nchi yake kupeleka
silaha Ukraine ili kukabiliana na kinachodaiwa uvamizi unaofanywa na
Urusi.
Robert Menendez amesisitiza Umoja wa Ulaya kutoa silaha za kivita kuisaidia Ukraine ili iweze kujihami dhidi ua Urusi.
Wito huo
umekuja huku Rais Putin wa Urusi akiita majadiliano ya haraka kuhusiana
na mwa Ukraine kama nafasi ya kufanya makubaliano ya kusitisha uhasama
wao.
Kauli ya
Putin inakuja ikiwa ni siku moja kabla ya mazungumzo yatakayofanyika
huko Minsk kati ya Ukraine na Urusi kujadili machafuko hayo
No comments:
Post a Comment