Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Monday, October 27, 2014

AJALI MBAYA YA GARI ARUSHA

  • Written by Tupambane Blog
  • Share on facebook Share on gmail Share on twitter

Gari aina ya Toyota Noah likiwa limepinduka katika ajali hiyo.

Gari aina ya Toyota Hiace iliyogonga kwenye mara baada ya ajali.
Ajali imetokea jana mchana ktk maeneo ya Airpot eneo linalojulikana kama  Makutano ya barabara ya AIRPORT ARUSHA. Ni baada ya askari polisi kusimamisha kwa ghafla gari aina ya Toyota Hiace.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG