Usiku wa tarehe 18, jiji la Kampala nchini Uganda lilipambwa na “EVENTS” mbili mkubwa kwenye upande wa buruani ambazo ni Show kubwa ya mwnamziki Jose Chameleone iliyofahamika kama 1Man Show Million na Pati ya mwanamama Zari iliyofahamika kama Zari All White Ciroc Party.
Mwigizaji Wema Sepetu na mwanamziki Diamond Platnumuz wote walitua nchi humo na kugawana matukio hayo kama ifuatavyo;
Wema Sepetu ambae anadai ni amekuwa shabiki mkubwa wa masanii Jose Chameleone alitokea nchini Ghana na kutua jijini Kampala kuhudhuria show ya mwanana mziku huyo ambayo ilifanyika Serena Hotel.
Wakati Diamond Platnumz ambae kwasasa ana “Le Project” na mwanamama Zari alihudhulia pati ya Zari kama “Special Guest”.
Baadhi ya watu wamechukulia kitendo hiki ni kama mwanadada Wema “Amepaniki” hivi, Huku wengine wakisema kuwa Wema ana uhuru wakufanya kile anachokitaka bila ya kuhofia watu watasemaje.
Jambo hili halijatokea kwa bahati mbaya kwani wiki kadhaa zilizopita, Diamond alipoonyesha kum-support Zari kwenye pati yake,Wema nae alibuka na kum-support Jose. Kama unavyoona hapa chini.
No comments:
Post a Comment