Mashukiwa aliyedaiwa kupanga mashambulizi ya kigaidi nchini kenya na tanzania aaga dunia
Bwana al-Liby alikamatwa na vikosi maalum vya marekani nchini libya mwaka 2013.
Alilalamika kuwa alikuwa ametekwa na kudhalilishwa
Amekana kuhusika kwenye mashambulizi ya Nairobi na Dar-es- salam ambapo zaid ya watu 220,000 waliuawa.
Mmoja
wa watu waliopanga mashambuliz ya kigaidi kwenye balozi za marekani
nchini Kenya na Tanzania mwaka 1998 ameaga dunia kabla ya kufikishwa
kizimbani mjini New York.
Wakili wa Abu Anas al-Liby amesema kuwa
afya ya mshukiwa huyo ilizorota kwa haraka na inakisiwa aliaga dunia
kutokana na maradhi ya saratani ya ini.Bwana al-Liby alikamatwa na vikosi maalum vya marekani nchini libya mwaka 2013.
Alilalamika kuwa alikuwa ametekwa na kudhalilishwa
Amekana kuhusika kwenye mashambulizi ya Nairobi na Dar-es- salam ambapo zaid ya watu 220,000 waliuawa.

No comments:
Post a Comment