Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa mara baada ya
kuwasili makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma leo
Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akijiandaa kuongea na
sekretarieti ya CCM kwa mara ya kwanza katika makuu ya chama hicho
mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na wafanyakazi wa makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Katibu Mkuu wa CCM
Ndg Abdulrahman Kinana akisikiliza maoni na changamoto toka kwa
wafanyakazi wa makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Waziri Mkuu Ndg. Kassim
Majaliwa katika picha ya pamoja na Secretarieti ya CCM makao makuu ya
chama hicho mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Waziri Mkuu Ndg. Kassim
Majaliwa katika picha ya pamoja na Sekretarieti ya CCm na wafanyakazi wa
makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiaga baada ya kupata
picha ya pamoja na Sekretarieti ya CCm na wafanyakazi wa makao makuu ya
chama hicho mjini Dodoma leo.
No comments:
Post a Comment